sw Swahili en English
Download details

Mpango Mkakati wa Kikundi wa Miaka Mitano (2020-2025) Mpango Mkakati wa Kikundi wa Miaka Mitano (2020-2025) HOT

Uandaaji wa mpango mkakati huu ulitokana na utekelezaji wa mipango ya mwaka mmoja mmoja wa kikundi hiki cha WYT. Kwa vile kikundi hiki hakikuwa na mpango mkakati kwa takribani miaka 5 ya uendeshaji wa shughuli zake, wanakikundi kupitia mikutano ya vikundi waliona ni vyema kikundi kuandaa mpango mkakati wa miaka mitano ili kikundi kiweze kuwa na maono ya muda mrefu yanayoweza kupimika.

Information
Created 2020-02-13
Changed 2020-02-13
Version
Size 1.73 MB
Created by Super User
Changed by Super User
Downloads 768
License
Price