sw Swahili en English
Download details

Taarifa ya Robo ya Kwanza ya Mwaka ya Kikundi cha WYT-2022 Taarifa ya Robo ya Kwanza ya Mwaka ya Kikundi cha WYT-2022 HOT

Hii ni Taarifa inayoonesha maendeleo ya kikundi katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 (Januari-March 2022) kulingana na mpango mkakati wa kikundi wa Miaka 5. Ili kupata maelezo zaidi unaweza kuipakua kwa kubofya kitufe cha Download kilichopo upande wa kulia ili uweze kujifunza zaidi kile tunachofanya kama kikundi. Tunakaribisha wadau mbalimbali tunaoweza kushirikiana nao katika kufikia malengo ya kikundi.

Information
Created 2022-04-29
Changed 2022-04-29
Version 2022
Size 3.9 MB
Created by admin
Changed by admin
Downloads 142
License
Price