Toleo hili la Katiba ya Walk Your Talk Group ni Toleo la tatu tangu kuanzishwa kwa kikundi hiki tarehe 20/12/2014 baada ya Maboresho ya Katiba ya Toleo la Pili iliyokuwa ikitumika tangu mwaka 2016. Maboresho haya yamefanyika kutokana na mapungufu yaliyoonekana kwenye katiba ya toleo la pili ya kikundi ya mwaka 2016.
Sheria, Kanuni na Taratibu za Kikundi cha Walk Your Talk (WYT)
Katiba hii imeanza kutumika mwezi Aprili 1, 2022 baada ya maboresho ya katiba iliyokuwa inatumika ya toleo la tatu.