sw Swahili en English
Download details

Katiba ya Walk Your Talk Group (WYT)-Toleo la Tatu 2019 Katiba ya Walk Your Talk Group (WYT)-Toleo la Tatu 2019 HOT

Toleo hili la Katiba ya Walk Your Talk Group ni Toleo la tatu tangu kuanzishwa kwa kikundi hiki tarehe 20/12/2014 baada ya Maboresho ya Katiba ya Toleo la Pili iliyokuwa ikitumika tangu mwaka 2016. Maboresho haya yamefanyika kutokana na mapungufu yaliyoonekana kwenye katiba ya toleo la pili ya kikundi ya mwaka 2016.

Information
Created 2020-02-14
Changed 2022-05-30
Version
Size 739.13 KB
Created by Super User
Changed by admin
Downloads 729
License
Price