sw Swahili en English
Download details

Taarifa ya Mwaka ya Kikundi 2019 Taarifa ya Mwaka ya Kikundi 2019 HOT

WYT ni kikundi cha kijamii (SHGs) kilichuondwa na wafanyakazi wa kanisa la AICT MUD, idara ya maendeleo mwaka 2015. Kikundi cha WYT kinatambuliwa na serikali kwa kupitia usajili uliofanyika katika ofisi za Manispaa ya Musoma tarehe 27/05/2015 kwa utambulisho wa barua yenye kumbukumbu namba “Kumb Na. HMM/UT/VK/418”. Ofisi ya kikundi hiki kinapatikana katika jengo la ofisi kuu la kanisa la AICT MUD iliyopo Bweri, Musoma.

Information
Created 2020-02-14
Changed 2020-02-14
Version
Size 2.04 MB
Created by Super User
Changed by Super User
Downloads 454
License
Price