sw Swahili en English
Download details

Taarifa ya Mwaka ya Kikundi 2018 Taarifa ya Mwaka ya Kikundi 2018 HOT

Mkutano ulifunguliwa na mwenyekiti saa Tatu Kamili Asubuhi (09:00 am) kwa kumkaribisha ndugu Justine Jumanne kuomba ombi la ufunguzi. Baada ya ombi la ufunguzi mwenyekiti aliwakaribisha wajumbe wote kwenye mkutano na kuwaomba wawe huru kuchangia mawazo yao kwa lengo la kuboresha kikundi.

Information
Created 2020-02-14
Changed
Version
Size 1.38 MB
Created by Super User
Changed by
Downloads 229
License
Price