Baadhi ya Wanakikundi wa WYT baada ya kumaliza kikao chao kwenye moja ya ziara ya mapumziko iliyofanyikia Lash-Garden Arusha
- Kundi: Matukio
- Imechapwa Alhamisi, 02 Mwezi wa 4, 2020 09:17
- Imendikwa na admin
- Vibofyo: 324
Moja ya nyakati za furaha kwa baadhi ya wanakikundi kumtembelea aliyekuwa mwanakikundi wa WYT Baba Askofu Mstaafu Dr. Peter Kitula nyumbani kwake Mwanza kwenye moja ya ziara yao ya mapumziko.