sw Swahili en English
All Downloads
Number of Downloads: 12
Order Files by:
Default | Name | Date | Hits
Files:

Kikundi cha Walk Your Talk kilianzishwa January 2015 na wafanyakazi wa AICT MUD idara ya maendeleo kikiwa na wanachama waanzilishi 13. Malengo makuu ya kuanzishwa kwa kikundi hiki yalikuwa ni kuboresha maisha ya wanakikundi kwa kuwawezesha kuweka akiba na kukopa, kuendesha shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii kwa juhudi na maarifa pamoja na kushiriki masuala ya kijamii na kusaidia jamii katika masuala mbalimbali ya kiuchumi na kijamii.

Information
Category Taarifa za Mwaka
Created 2020-02-14
Changed
Version
Size 841.81 KB
System
Downloads 1,128

Mkutano ulifunguliwa na mwenyekiti saa Tatu Kamili Asubuhi (09:00 am) kwa kumkaribisha ndugu Justine Jumanne kuomba ombi la ufunguzi. Baada ya ombi la ufunguzi mwenyekiti aliwakaribisha wajumbe wote kwenye mkutano na kuwaomba wawe huru kuchangia mawazo yao kwa lengo la kuboresha kikundi.

Information
Category Taarifa za Mwaka
Created 2020-02-14
Changed
Version
Size 1.38 MB
System
Downloads 229

Kiwanja/Barua ya Mauziano ya Shamba ili itunzwe hadi atakapokamilisha kulipia mkopo wake na endapo atashindwa kurejesha mkopo huo atakaopewa kwa wakati kama katiba inavyosema, anakubali kuwajibika kwa kuhakikisha mkopo huo unarejeshwa na kama hatua zote za kufuatilia mkopo huo zitashindikana baada ya ufuatiliaji tulioufanya tutakuwa tayari kuchukua shamba/Kiwanja na kuwa mali ya Kikundi cha WYT.

Information
Category Fomu za Mikopo
Created 2020-02-14
Changed
Version
Size 223.74 KB
System
Downloads 134