sw Swahili en English

MKUTANO WA ROBO YA KWANZA-WYT; APRIL 23, 2022

  • Kundi: Taarifa
  • Imechapwa Ijumaa, 15 Mwezi wa 4, 2022 14:24
  • Imendikwa na admin
  • Vibofyo: 139

Kikundi cha kijamii cha Huduma ndozo za kifedha cha WYT kinawaalika wanachama wake wote kwenye Mkutano wa Robo ya Kwanza ya Mwaka 2022 utakaofanyika kwa njia ya Mtandao siku ya Jumamosi ya Tarehe 23/04/2022 kuanzia saa 3:00 Asubuhi. Link kwa ajili ya kujiunga imetumwa kwa wanakikundi wote kupitia barua pepe zao. Kwa watu binafsi au vikundi vinavyopenda kushiriki kwenye mkutano huu kwa lengo la kujifunza wanaweza kuwasiliana na mwenyekiti wa kikundi ndugu Edson Rwambogo kwa ajili ya kupata utaratibu kupitia namba ya simu +255 765 355 105

Muda wa kuanza kujiunga: 3:00 Asubuhi

Muda Rasmi wa Kuanza Mkutano: 3:30 Asubuhi

Muda wa Kumaliza Mkutano: 7:00 Mchana