sw Swahili en English

Toleo jipya la Katiba ya Kikundi cha WYT, 2022

  • Kundi: Taarifa
  • Imechapwa Juma mosi, 16 Mwezi wa 4, 2022 05:08
  • Imendikwa na admin
  • Vibofyo: 255

Napenda kuwataarifu wanakikundi wote wa WYT na wadau wetu kuwa kikundi kimezindua rasmi katiba yake Toleo la nne la mwaka 2022. Katiba hii imeanza kutumika kuanzia Aprili 1, 2022. Kuzinduliwa kwa toleo hili inamaanisha kuwa kikundi hakitatumia tena toleo za nyuma za katiba na hivyo kama mtu anatafuta jambo lolote linalohusiana na katiba ya kikundi cha WYT basi anapaswa kutumia hili toleo jipya.

Ili kupata katiba hii, tafadhali angalia kwenye tovuti yetu sehemu ya Maktaba, kipengele cha Katiba na Sheria za Kikundi.

Imetolewa na Uongozi wa Kikundi,

Aprilii 16, 2022