sw Swahili en English

RATIBA YA MIKUTANO YA KIKUNDI CHA WYT KWA MWAKA 2022

  • Kundi: Taarifa
  • Imechapwa Juma pili, 29 Mwezi wa 5, 2022 18:32
  • Imendikwa na admin
  • Vibofyo: 396

Wapendwa wanakikundi wa WYT na wadau wetu!

Napenda kuwajulisha kwamba kwa mwaka huu wa 2022, Mikutano ya kikundi itafanyika tarehe zifuatazo:-

  • Mkutano wa Robo ya Kwanza (Mkutano kwa njia ya Mtandao: Aprili 23, 2022
  • Mkutano wa Robo ya Pili/Mkutano wa Nusu Mwaka: Julai 16, 2022
  • Mkutano wa Robo ya Tatu (Mkutano kwa njia ya Mtandao: Oktoba 14, 2022
  • Mkutano wa Robo ya Nne/Mkutano Mkuu: Januari 7, 2023

Kwa mdau yeyote anayependa kushiriki kwenye mikutano yenu, tafadhali wasiliana na ofisi ya katibu  wa kikundi kwa utaratibu zaidi kupitia njia zifuatazo;

Namba ya Simu: 0747 599 825

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 

Imetolewa na:

Ofisi ya Katibu wa Kikundi,

Walk Your Talk